DIAMOND KAKUBALI KWAMBA YEYE NI FISI NA KAMA ZARI ANGEKUWA MWANAMUZIKI WASINGE KUWA PAMOJA
Mapema leo mwanamuziki pendwa Diamond Platinumz akiwa nchi jirani (Kenya) kwa ajili ya show vyombo tofauti tofauti vya habari vilifanya nae mahojiano kuhusianana muziki