DIAMOND KAKUBALI KWAMBA YEYE NI FISI NA KAMA ZARI ANGEKUWA MWANAMUZIKI WASINGE KUWA PAMOJA
Mapema leo mwanamuziki pendwa Diamond Platinumz akiwa nchi jirani (Kenya) kwa ajili ya show vyombo tofauti tofauti vya habari vilifanya nae mahojiano kuhusianana muziki
na maisha yake kwa ujumla.
Akiwa kwenye interview aliulozwa na muandishi wewe ni Fisi (yani mtu mwenye tamaa ya wanawake alisema "Ndiyo si unajua mwanaume ukiwa rijali" akaulizwa tena swali lingine vipi zari angekuwa msanii ungekuwanae ? Akajibu "hapana mana nilijua songombingo la usanii".
Ndugu mpendwa usiache kusoma habari zetu kila siku .