SIMBA WA IBUKAWASHINDI KOMBE LA AZAM SPORTS FEDERATION CUP
Baada ya kumalizika kwa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2016/2017 wekundu wa
Msimbazi Simba walisafiri hadi mjini Dodoma May 27 kucheza dhidi ya Mbao FC katika uwanja huru wa Jamhuri Dodoma kucheza mchezo wao wa fainali wa Kombe la Azam Sports Federation Cup.