PEMBENNE

MAJANGA

ADAM PHILIP KWAMBIANA AMEFARIKI DUNIA.......

Pichani akiwa na vicent kigosi na team yake Wakiwa kwenye harakati za kushoot movie mpya ya Vicent .Kwambiana amefariki dunia akiwa Anawaishwa hospitali ya mama Ngoma iliyopo mwenge jijini Dar Es salaam baada ya kuanguka chooni  kwakile kinacho semekana kua ni maradhi ya tumbo Yanayo mleteaga maumivu  makali sana.

HOMA YA DENGUE NI NINI?

Homa ya Dengue ni ugonjwa unao enezwa na kuumwa kwa kuumwa na mbu aina ya Aedes mwenye virusi vya ugonjwa huu.


Mbu hupata homa ya ugonjwa huu anapo muuma mtu mwenye ugonjwa huu.

DALILI:
1) Homa kali ya ghafla
2)Kuumwa kichwa hususani sehemu za machoni
3)Maumivu makali ya viungo na misuli ya mwili
4)Kichefuchefu au kutapika
5)Kutokwa na damu kwenye fizi na sehemu za uwazi za mwii
6)Uchovu


 USHAULI:

Safisha vichaka vyote vilivyopo karibu na mazingira unayo ishi, ondoa maji yalio tuama karibu na mazingira unayo ishi na ukihisi una dalii za ugonjwa huu wahi mapema hospitali 

Popular posts from this blog

DUNGA DUNGA IS DOING HIS THINGS IN THE DALADALA(BAD BEHAVIOR)WATCH THIS VIDEO HERE