PEMBENNE

KIDUDU MTU CHA ONEKANA HUKO MOSHI WATU WAPASWA KUWA MAKINI.

         Kidudu mtu ni aina ya mdudu ambaye  anapatikana kwenye  mboga za majani kama
kisamvu, spinachi na mboga zenye majani makubwa makubwa. Kwa bahati mbaya kama itatokea ukala mboga iliyo pikwa nani ikiwa na hiki kidudu basi una asilimia kubwa sana  ya kupoteza maisha kwani kidudu hiki kina sumu kali sana. Mambo ya kuangalia wakati unanunua mboga zikague na ukifika nyumbani zioshe epuka kula mboga za majani ambazo huna uwakika na uandaaji wake wa awali tazama video ya kidudu mtu hapo chini. Toa maoni yako hapa pia tujuze zaidi  kuhusu kidudu mtu kwa kucomment hapo chini.


Popular posts from this blog

DUNGA DUNGA IS DOING HIS THINGS IN THE DALADALA(BAD BEHAVIOR)WATCH THIS VIDEO HERE