PEMBENNE

HAMISA MOBETO ANAZIDI KUZIHIRISHA KUWA YEYE NDIYO MAMA DEEH!! TAZAMA HAPA.

        Pichani ni binti wa kitamzania ambae amejizolea umaarufu  wake kupitia kazi yake ya
umodel, hivi karibuni amekamata headlines nyingi za habar na mitandao ya kijamii  kufuatia ujauzito alionao unao semekana kuwa ni wa Diamond Platinumz  ,Siku hii ya leo Hamisa amepost picha akiwa na mama na dada yake Diamond Platnumz wakiwa nchini Kenya mji wa Nairobi. Wakisherekea siku ya kuzaliwa ya mama yake Diamond Platnumz .

     Pichani ni  Hamisa Mobeto,dada na mama yake Diamond Platnumz. Toa maoni yako hapo chini.

Popular posts from this blog

DUNGA DUNGA IS DOING HIS THINGS IN THE DALADALA(BAD BEHAVIOR)WATCH THIS VIDEO HERE