PEMBENNE

DIAMOND ASHAULIWA NA MASHABIKI....

        Baada ya kushusha mizigo mizito ilio kimbimbi sana kwenye chat tofauti za Africa hivi
sasa mashabiki wake wapande tofauti duniani waki mtaka star huyo aweze kutulia kwanza na  kuacha kutoa nyimbo sisizo na impact ya kibaba na badala yake atulie kwanza ili ajipange kwa kulisoma game lipo vipi ili awalishe mashabiki wake mziki mzuri wa kushibisha.

Popular posts from this blog

DUNGA DUNGA IS DOING HIS THINGS IN THE DALADALA(BAD BEHAVIOR)WATCH THIS VIDEO HERE