UJENSI WA HOSTEL ZA CHUO KIKUU UMEKAMILIKA TAZAMA PICHA HAPA.
Ujenzi wa hostel hizi umegharimu billioni 10 tu kujenga majengo 20 yenye uwezo wa
kuchukuwa wanafunzi 3,840. Baadha ya wakandalasi wali kuwa wanataka wapewe billion 100 kwaajiri ya ujenzi huu billioni 90 yote ingeenda kwenye mifuko ya watu inasikitisha kwakweli watu wanapo tumia taaruma zao vibaya .