PEMBENNE

TIWA SAVAGE KASAINIWA ROC NATION "LEBAL YA JAY Z".

         Tiwa Savage star wa Nigeria alie tamba sana na kibao cha "Bad " akiwa na wiz kid
amethibitisha kwenye moja ya kipindi cha runinga huko nchini Nigeria kwakusema kuwa ni kweli amesainiwa na Jay z kwenye lebal ya "Rock Nation" lakini hiyo ija vunja uhusiano na wamiliki wake wa zamani ambao ni Mavin's records ambayo inamilikiwa na Don Jazzy.

Popular posts from this blog