RAIS JOHN P.MAGUFURI AMEFANYA UFUNGUZI RASMI WA UWANJA WA NDEGE ZA VITA MKOANI MOROGORO. By SIMBA Rais John P.Magufuri amefanya ufunguzi wa uwanja wa kisasa wa ndege vita ujulikanao kwa jina la ngerengere uliopo Morogoro Ngerengere tarehe 6/3/2017, ali rasmisha kwa kufyatua risasi hewani.