PEMBENNE

MSIKIE BARAKA DA PRICE ANACHO SEMA KUHUSU MAUSIANO YAKE NA NAJ.

           
Barakah Da Prince alikaa kitako na Mtangazaji wa ABM Radio ya Dodoma, DJ Rodger kuzungumzia status ya uhusiano wake na Naj.

Kwenye interview hiyo Barakah amedai kuwa bado mapenzi yao yapo moto moto ila wameamua kutopenda sana kupostiana kwenye mitandao ya kijamii kama zamani.

Ameongeza kuwa ukurasa wake wa Instagram sasa utaendelea kujikita katika kazi zake zaidi na sio mambo ya uhusiano.

Popular posts from this blog

DUNGA DUNGA IS DOING HIS THINGS IN THE DALADALA(BAD BEHAVIOR)WATCH THIS VIDEO HERE