MBWANA SAMALTA ANAZIDI KUNG'ARA KWENYE ANGA ZA KIMATAIFA.
Mbwana Samalta anazidi kung'aa kwenye anga zakimataifa baada ya kuipatia team
yake magoli mawili moja akiwa amelipata ndani ya dakika ya tano na LA pili akiwa amelipata ndani ya dakika ya 43 nakupelekea kuipatia timu yake ushindi richa ya kufungwa goli moja na team pinzani.