PEMBENNE

KUTA NA DEREVA WA KIKE MUENDESHA MAGARI MAKUBWA KWENYE KAMPUNI YA DANGOTE.

    Huyo ndiyo bibie Halima dereva bora kabisa wa kuendesha magari makubwa na kwenda umbali mrefu, mwanamama huyu anafanya kazi kenye kampuni ya Dangote huwa  anatoa
Cement Legos na kupeleka Yola, mwanamama huyo huwa anasababisha foleni kubwa mno baada ya watu kuwa wanamshangaa akiwa anaendesha gari kubwa ambalo imezoeleka kuendeshwa na wanaume.

Popular posts from this blog

DUNGA DUNGA IS DOING HIS THINGS IN THE DALADALA(BAD BEHAVIOR)WATCH THIS VIDEO HERE