KOMPUTER YA KIKOSI CHA KUMLINDA RAIS WA MAREKANI IMEIBIWA KWENYE MAZINGIRA YA KUTATA NISHA.
Computer hiyo iliyo ibiwa ilikuwa na mchoro wa jumba la Trump tower pamoja na
siri nyingi sana kubwa kubwa. Computer hiyo ili ibiwa maeneo ya Brooklyn New York ikiwa kwenye gari la moja ya maafisa wanao mlinda Trump.