PEMBENNE

GWAJIMA KUPINGWA NA MDOGO WAKE JUU YA SWALA LA DAWA ZA KULEVYA.

                   Pichani ni Methusema Gwajima mdogo wake na Josephat Gwajima mchungaji wa kanisa la ufufuo na uzima, Methusema ali mtaka kaka yake awe mpole nakuwaachia
polisi wafanye upelelezi wao juu ya tuhuma zinazo mkabili na aache kufanya kanisa kuwa ni sehemu ya kuongelea mambo ya kisiasa. Aliongea maneno haya katika mkutano wa waandishi wa habari uliyo fanyika jijini Dar es salaam maeneo ya Kinondoni kwenye moja ya hotel maarufu maeneo hayo ijulukanayo kwa jina la Traveltimes.
           
          
                

Popular posts from this blog

DUNGA DUNGA IS DOING HIS THINGS IN THE DALADALA(BAD BEHAVIOR)WATCH THIS VIDEO HERE