ALI KIBA NA DIAMOND PLATINUMZ NYIMBO MPYA.
Huku Serengeti boys ikiwa ina elekea kwenye finali Gaboni kamati ya hamasa ya Serengeti
bozi inayo ongozwa na Chales Hilal inaanda nyimbo ya kusherehesha siku ya tukio hilo ambayo itafanywa na Ali Kiba pamoja na Diamond Platinumz