USILO LIFAHAMU BAADA YA WAZIRI MKUU KUFUTURISHA WATU HUKO MJINI MWANZA NI HILI HAPA.
Kassim Majaliwa waziri mkuu wa Tanzania, jioni ya June 9, amejumuika na Waumini wenzake pamoja na Dini zingine kwenye futari ya pamoja baada ya ufunguzi wa mashindano ya UMISETA Kitaifa Mwanza.