APRIL 14 WINNIE MANDELA KUZIKWA KITAIFA.
Rais wa Africa ya kusini Mh. Cyril Ramaphosa ametangaza rasmi siku ya mazishi ya aliye kuwa
mke wa Hayati Nelson Mandela Bi.Winnie Mandela kuwa yata fanyika siku ya tarehe 14 April, Mh. Ramaphosa aliongezea kwa kusema anatambua mchango wa Bi.Winnie kwenye taifa hilo la S.A ivyo mazishi yake yatafanywa kitaifa.