HUU NDIYO URITHI WA DIAMOND PLATNUMZ KWA WATOTO ZAKE WA KIUME.
Diamond platnumz baada ya kuachana na mama watoto wake zari, kutokana na kuwa
na skendo mbali mbali za kimapenzi na wasanii tofauti akiwemo Hamisa mobetto amezaa nae mtoto mmoja na hivi karibuni kuonekana katika picha ya mahaba na wema sepetu ambae alikuwa na mahuziano na e zamani, hivyo Diamond ameamua kuwapa urithi watoto wake wawili Nillan na Dully.
Tazama video hapo chini