SIYABONGA TAZAMA HAPA TRAILER LA FILAMU MPYA YA GABO ZIGAMBA.
Baada ya miezi michche iliyo pita Gabo Zigamba kuachia movie kalia aliyo ipa jina la
Kisogo ambayo alishirikiana na nyota akike wa bongo movie Wema Sepetu , Gabo anakuja tena na bonge la movie aliyo ipa jina la"SIYABONGA" tazama kipande cha hiyo movie hapo chini kisha toa maoni yako.