HAMISA MOBETO ANAZIDI KUZIHIRISHA KUWA YEYE NDIYO MAMA DEEH!! TAZAMA HAPA.
Pichani ni binti wa kitamzania ambae amejizolea umaarufu wake kupitia kazi yake ya
umodel, hivi karibuni amekamata headlines nyingi za habar na mitandao ya kijamii kufuatia ujauzito alionao unao semekana kuwa ni wa Diamond Platinumz ,Siku hii ya leo Hamisa amepost picha akiwa na mama na dada yake Diamond Platnumz wakiwa nchini Kenya mji wa Nairobi. Wakisherekea siku ya kuzaliwa ya mama yake Diamond Platnumz .
Pichani ni Hamisa Mobeto,dada na mama yake Diamond Platnumz. Toa maoni yako hapo chini.