DIAMOND ASHAULIWA NA MASHABIKI....
Baada ya kushusha mizigo mizito ilio kimbimbi sana kwenye chat tofauti za Africa hivi
sasa mashabiki wake wapande tofauti duniani waki mtaka star huyo aweze kutulia kwanza na kuacha kutoa nyimbo sisizo na impact ya kibaba na badala yake atulie kwanza ili ajipange kwa kulisoma game lipo vipi ili awalishe mashabiki wake mziki mzuri wa kushibisha.