PEMBENNE

ZIJUE NCHI ZINAZO HIMIZA WANANCHI WAO KUFANYA MAPENZI KWA SANA.

          Duniani kuna nchi takribani 224  kuna baadhi ya nchi kutokana na matatizo tofauti tofauti serikali zao huwa himiza wana nchi wao kuongeza kasi ya kufanya mapenz ili kuleta ongezeko la watu kwenye nchi zao baadhi ya nchi ni hizi hapa:



1)DENMARK
   
                Hii ni nchi ya kifugaji uchumi wake unaendeshwa kwa ufugaji kwa asilimia kubwa sana pia ni nchi ndogo, serikali ya Denmark imekuwa ikiwahimiza wapenzi kufanya mapenzi na kupata watoto kutokana na kuwa na uchache wa watu kwenye nchi yao, ili anzishwa kampeni ndani ya Denmark inayo itwa "DO IT FOR MOM" hii ni baada ya watu kuambiwa kama hauto penda kuzaa mtoto kwa ajiri yako basi mzae kwa ajiri ya Denmark na bado kampeni hiyo ika feli sasa wamekuja na kampeni nyingine ambayo ni "DO IT FOR MOM" yani wapenz wa wili kama hawataki kuwa na watoto basi wa fanye wa wapate kwa ajiri ya wazaz  wao kupata wa jukuu watu wanakuwa wagumu kulea sababu ya ugumu wa maisha.

 2)SINGAPORE

               Serilikali ya Singapore tarehe 9/8/2012 ili fanya kampeni maalumu ya kusisitiza watu wapenzi kufanya jitiada za kutafuta watoto   kampeni hii ili pewa jina la "NATIONAL NIGHT" yani usiku wa kitaifa, kampeni hii ili dhaminiwa na  Breath-Mint Company Mentos ,serikali imekuwa ikitumia zaidi ya bilioni $1.6 kufanya kampeni hii ili kuhakikisha kuzaliana kwa watu kunakuwa kwenye kiwango kinacho hitajika.

3) ITALY

            Nchi hii serikali yake imekuwa ikihimiza sana juu ya watu kuongeza idadi ya watoto na wanawake ambao hawana watoto wazae, serikali imetumia pesa nyingi sana kufanya matangazo juu ya jambo hili watu wamekuwa hawashikiki katika maswala ya fasheni mpaka wana kosa muda wa kutafuta watoto,kubeba mimba na kulea, kukatokea msemo mmoja italy ulio tamba sana nao ni "FASHION HAS NO TIME BUT FERTILITY DOES" hii maana yake ni kwamba "fasheni haina muda ila uzalishaji unao"

      Hizi ni baadhi ya nchi ila zipo nchi nyingi tu wana nchi huamasishwa kufanya mapenzi na kuzaliana ili taifa liweze kuwa na watu wa kutosha.

         

Popular posts from this blog

DUNGA DUNGA IS DOING HIS THINGS IN THE DALADALA(BAD BEHAVIOR)WATCH THIS VIDEO HERE