PEMBENNE

TRA KUPITIA YONO AUCTION MART IMEFUNGA OFISI ZA TFF.

             Ofisi za TFF zimefungwa na TRA kupitia kampuni ya madalali ambayo ni maarufu
sana jijini Dar es salaam ijulikanayo kwa jina la Yono Action Mart, kampuni hii iliwataka wafanyakazi wote wa TFF kutoka nje ya jengo hilo bila kutoka na kitu chochote, hii imetokea baada ya TFF kuvunja makubaliano ya kufanya malipo ya kodi kwa kuzidisha muda.

Popular posts from this blog

DUNGA DUNGA IS DOING HIS THINGS IN THE DALADALA(BAD BEHAVIOR)WATCH THIS VIDEO HERE