PEMBENNE

TAZAMA HAPA ANACHOKIFANYA KAMANDA WEMA LEO.

   Leo ikiwa ni  Siku ya wanawake Duniani muigizaji Wema Sepetu alijiunga na mwanamke
mwenzake ambae ni mbunge wa viti maalumu chadema mkoani morogoro Devota minja walishirikiana kwa nguvu zote kama unavyoona hapo pichani wakihamasisha upandaji wa miti.

              Wema au kamanda mpya wa chadema anasema ameamua siku hii kuitumia kupanda miti sababu miti husaidia na kutunza vyanzo vya maji na kwakuwa adha ya uchotaji wa maji huwa ni ya watoto wakike na mama zao sana sana  basi kwa upandaji wa miti hiyo hatakama haito kuwa kwa manufaa ya sasa ila anaamini kuwa itakuwa ni msaada mkubwa sana kwa baadae kwa wana wake wenzake.

Popular posts from this blog

DUNGA DUNGA IS DOING HIS THINGS IN THE DALADALA(BAD BEHAVIOR)WATCH THIS VIDEO HERE