MJUMBE WA KAMATI KUU CCM SOPHIA SIMBA AMEFUKUZWA UWANACHAMA.
Hii ni kutokana na usaliti huku adamu kimbisa na Dr.Emmanuel Nchimbi wakipewa
onyo kali sana, wengine walio fikuzwa kazi ni mwenye kiti wa mkoa wa Iringa Ramathan Mabadi,mwenye kiti mkowa wa mara na mwenye kiti mkoa wa shinyanga.