MCHUNGAJI GWAJIMA AMETAJA MAKOSA KADHAA YA MAKONDA.
Mchungaji Gwajima akiwa kanisani kwake kwenye kanisa la ufufuo na uzima alitaja
makosa yaliyo mfanya Poul makonda kuondoka nchini na kuelekea South Africa, lakwanza ni kughushi cheti chenye jina la Poul Makonda wakati yeye ni Daudi Bashite aliendelea mchungaji huyo na kutaja kosa la pili ambalo nikula kiapo cha ukuu wa wilaya na ukuu w mkoa kwajina la Poul Makonda huku yeye ni Daud Bashite (kula kiapo na cheti feki) kosa la mwisho alilo taja ni kupoke mshahara na posho kwa jina ambalo siyo lake alisema Gwajima kosa hilo likithibitika atapaswa kurudisha mishahara na posho zote alizo pokea.