PEMBENNE

MAKOSA WANAYO FANYAGA WATU WAKATI WAKIJIPATIA HUDUMA YA KWANZA.

               Kwenye dunia ya sasa watu wengi sana wamekuwa na ujuzi wa kujipatia huduma ya kwanza  ila wengi wao huwa wanakosea kutokana na sababu tofauti, hizi ni njia sahihi za
kujipatia huduma ya kwanza kutokana na matatizo haya.

i) kutokwa na damu puani , watu wengi huwa wanakimbilia kunyanyua uso juu na kuziba pua zoa ili damu zisitoke, sasa hili ni kosa kubwa sana sababu damu huweza ingia kooni na  kuzuia hewa kitendo ambacho huweza pelekea mtu kupoteza uhai ,pia kuzuia damu kwa njia hiyo huweza sababisha ubongo kupata virusi viishivyo kwenye damu. Njia sahihi nikuiachia damu itoke mpaka itapo katika na kuwahi kwenye kituo cha uduma za afya.

ii) Kuungua moto, kunabaadhi ya watu wanapo ungua na moto wanakimbilia kuweka dawa ya mswaki au dawa zengine tu zenye asili ya kuleta ubaridi lakin hiyo si njia sahihi sababu huenda dawa hiyo utayo weka inaweza kuongeza tatizo, hii ndiyo njia sahihi kanda sehemu iliyo ungua na maji ya baridi ili kupoza lile joto lililobaki katika sehemu hiyo iliyo ungua.

Popular posts from this blog

DUNGA DUNGA IS DOING HIS THINGS IN THE DALADALA(BAD BEHAVIOR)WATCH THIS VIDEO HERE