KUTA NA DEREVA WA KIKE MUENDESHA MAGARI MAKUBWA KWENYE KAMPUNI YA DANGOTE.
Huyo ndiyo bibie Halima dereva bora kabisa wa kuendesha magari makubwa na kwenda umbali mrefu, mwanamama huyu anafanya kazi kenye kampuni ya Dangote huwa anatoa
Cement Legos na kupeleka Yola, mwanamama huyo huwa anasababisha foleni kubwa mno baada ya watu kuwa wanamshangaa akiwa anaendesha gari kubwa ambalo imezoeleka kuendeshwa na wanaume.