PEMBENNE

JUA BEI ZA NYIMBO ZITAKAVYO UZWA KWENYE TOVUTI YA DIAMOND PLATINUMZ.

        Msanii Diamond Platinumz baada ya kukamilishiwa website yake na wataaramu alio wapatia kazi hiyo sasa amewataka wasanii wenzake kujiunga nae ili kuweza kukuza mziki
wao pamoja na vipato binafsi bila kuwa sahau mashabiki aliomba watu wote waliunge mkono jambo hili  huku akiweka wazi kuwa bei ya nyimbo moja itakuwa inauzwa shilingi mia tatu (300) hiyo ni kwatanzania, lakini kwa ughaibuni nyimbo moja itakuwa Dollar moja ($1) yani kama 2200/=tsh hivi ya kitanzania.

Popular posts from this blog

DUNGA DUNGA IS DOING HIS THINGS IN THE DALADALA(BAD BEHAVIOR)WATCH THIS VIDEO HERE