IMEBAINIKA KWAMBA ASILIMIA KUBWA YA WAATHIRIKA WA DAWA ZA KULEVYA NI WANAWAKE.
Taarifa za hivi karibuni juu ya swala LA utumiaji wa dawa za kulevya in kwàmba asilimia 70 ya watumiaji wa dawa hizo ni wanawake,taarifa hizi zimetolewa na kamishna
mkuu wa mamlaka ya kuzuia na kupambana na dawa za kulevya mh.Rogers Siyanga jijini Dar es salaam.
Aliongeza kwa kusema jambo hili siyo tatizo la Tanzania pekee bali ni janga la Dunia nzima kwa hiyo tuungane na kupiga vita madawa ya kulevya alisema wa hanga wa dawa hizo hawata chukuliwa hatua za kisheria Bali watapewa matibabu ili waweze rudi katika hali zao za kawaida huku wakisaidia kuwakamata was uzaji wa dawa hizo haramu.