HAWA NTAREJEA AENDA KANISANI KUTAKA MSAADA.
Hawa wa nitarejea kiukweli anahitaji msaada tazama hii picha akitoa ushuhuda wa vitu
alivyo kuwa akivifanya hapo awali, ushuhuda huu umetolewa ndani ya moja ya kanisa jipya lililopo hapa jijin Dar es salaam.