PEMBENNE

DIAMOND PLATNUMZ AMEWACHANA MBAYA HAWAJAMAA..

       
             Mwanamuziki kutoka Tanzania Diamond Platnumz aliye jizolea umaarufu kwa
uimbaji wake na njonjo zake za hapa na pale ameamua kuwa chana live watu wachache wanao hisi wanaweza kuuendesha muziki wanavyo taka wao, Diamond anasema mimi kwa level niliyo fikia kwa sasa sitegemei promotion ya kwenye Tv&Radio, hivi sasa kunaplatform nyingi sana za kusambaza kazi za music na ukasikika vizuri tu bila kupotea kwenye anga la music ukiachana na hilo kuna mitandao mingi sana ya kijamii pia, kwa hiyo mtu kukaa na kufikiria kwamba unaweza kumpandisha mtu au kumshusha kwa sababu umependa tu siku hizi hiyo inakuwa ngumu sana.

Popular posts from this blog

DUNGA DUNGA IS DOING HIS THINGS IN THE DALADALA(BAD BEHAVIOR)WATCH THIS VIDEO HERE